MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizungumza na Wake Wawakilishi na Wabunge katika Harambee ya kichangia Wananchi wa Gongolamboto walioathirika na Mabomu mwezi uliopita, Harambee hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Migombani., kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi na Makamu Mwenyekiti wa UWT Zanzibar Asha Bakari.
WAHESHIMIWA Wabunge na Wawakilishi na Wake wa Wabunge na Wawakilishi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akipiga Harambee ya kuchangia Wananchi wa Gongolamboto waliopata madhara ya miripuko ya mabomu.
No comments:
Post a Comment