Habari za Punde

MSONGAMANO MAGARI ENEO LA NBC SHANGANI

MSONGAMANO wa Magari katika eneo la barabara Benki ya NBC Shangani imekuwa kero kwa watumiaji wa  barabara hiyo  inakuwa na msongamano mkubwa wakati wa upakizi wa magari katika  bandari ya Forodhani na kusababisha usumbufu katika eneo hilo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.