BALOZI Mdogo wa China Zanzibar Chen Qi Man akipiga Ngoma maalum kwa ajili ya kuashiria kuzinduwa Darasa la "CONFUCIUS" kwa ajili ya kufundishia lugha ya Kichina katika Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar.
WANAFUNZI wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Mwaklimu wao wa Kichina Khadija, baada ya kuzinduliwa darasa hilo na Naibu Waziri wa Elimu Zanzibar Zahra Hamad.
No comments:
Post a Comment