WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdilla Jihad kushoto akitoka katika ukumbi wa mkutano akiongozana na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara yake kwa mbinde.
MWAKILISHI wa Jimbo la Kitope Makame Mshimba akitaka maelezo ya matumizi ya kifungu cha Matumizi cha Wizara ya Habari. wakati wa kupitisha bajeti yake.
MAKAMU wa Pili wa Rais na Mbunge wa Kitope na Mwakilishi wa kuteuliwa Balozi Seif Ali Idd kulia, akimsikiliza Mwakilishi wa Mkwajuni Mbarouk Wadi Mtando, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza kikao cha asubuhi kupitisha bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo.
MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia uchangiaji wa bajeti za Wizara za Serikali wakati wa kuwasilisha matumizi yao.
MWAKILISHI wa Rahaleo, Nassor Salim Al Jazira na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ramadhani Abdalla Shaban wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa mkutano.
MWAKILISHI wa Vitu Maalum Raya Suleiman Hamad , akisisitiza kitu na Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud, baada ya kumalizika kikao cha asubuhi.
MWAKILISHI nafasi za Wanawake, Ashura Sharrif ( CUF ) na wa Kikwajuni Mahmoud Mohammed (CCM) wakibadilishana mawazo nje ya jengo la baraza
ISMAIl Jussa Mji mkongwe , Hija Hassa Hija Kiwani, wakizungumza na mwandishi wa habari wa Zanzibar leo Mwantanga Ame nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kusomwa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
No comments:
Post a Comment