Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea Ripoti ya Kura ya Maoni na Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa Mwaka 2010,kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar,Bw Khatib Mwinchande,huko Ikulu Mjini Zanzibar leo
Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipeana mkono Bibi Mwanabaraka Maalim Ahmed, alipokuwa akiagana na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, baada ya mazungumzo na Tume hiyo ambayo ilimkabidhi Ripoti kupitia Mwenyekiti wake Bw Khatib Mwinchande,(katikati) huko Ikulu Mjini Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment