WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan akizinduwa maonesho ya Picha yalioandaliwa na Ubalozi wa Brazil Tanzania kusho Balozi wa Brazil Tanzania Francisco Luz, maonesho hayo yamefanyika jumba la Utamaduni la Aga Khan Malindi.
Balozi wa Brazil Francisco Luz akitowa maelezo ya maonesho hayo ya picha zinazoelezea Brazil. kulia Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad.
BAADHI ya waalikwa wa uzinduzi wa maonesho ya picha wakimsikiliza mgeni rasmin akifunguwa maonesho hayo.
No comments:
Post a Comment