Habari za Punde

DK SHEIN AENDELEA NA ZIARA MAALUM YA KUWAPA POLE WANANCHI KISIWANI PEMBA

Waziri wa Katiba na Utawala Bora,Mhe Abubakar Khamis Bakari, mwenyekiti wa kamati ya mazishi, akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kuzungumza na kuwapapole wananchi wa pandani wilaya ya wete waliofiliwa na jamaa zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander hivo karibuni
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Wete Pemba,wakiwa katika ukumbi wa Benjamin William Mkapa,katika mkutano wa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipofika kuwapa pole waliofiliwa na ndugu zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,ikitoke Nungwi Unguja kuelekea Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kufariji na kuzuungumza na wananchi wa Pandani,Wilaya ya Wete Pemba, waliofiliwa na jamaa zao katika ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja hivi karibuni,(kushoto) Mama Mwamamwema Shein,na (katikati) Waziri wa Katiba na Utawala Bora,Mhe Abubakar Khamis Bakari
Sheikh Suleiman, wa Pandani wilaya ya Wete Pemba,akiomba dua maalum wakati Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)alipofika katika skuli ya Pandani Pemba kuwapa pole wananchi waliofiliwa na jamaa zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,iliyotokea mkondo wa nugwi hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu kadhaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na wananchi wa Pandani,Wilaya ya Wete Pemba, na kuwapa pole waliofili na jamaa zao katika ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na wananchi Wilaya ya Wete Pemba, waliofili na jamaa zao katika ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja hivi karibuni,katika ukumbi wa mikutano wa Benjamin Mkapa Wete Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwamamema Shein,akitia saini kitabu cha wageni waakati alipofika katika ukumbi wa Benjamin Willium Mkapa,kuwafariji wananchi wa Wete waliofiliwa na jamaa zao katika ajali ya Meli ya Mv Sopice Islander,katika mkondo wa Nungwi,kaskazini Unguja ikielekea Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na wananchi wa Pandani,Wilaya ya Wete Pemba, na kuwapa pole waliofili na jamaa zao katika ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja hivi karibuni.

Picha na Ramadhan Othman na Othman Maulid, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.