Habari za Punde

DK SHEIN AKAGUA MRADI WA MAJI KIZIMKAZI DIMBANI


Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanafuzi wa Skuli katika kijiji cha kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua za majaribio ya tangi la maji safi na salama katika kijiji hicho jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,Kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mustafa Ibrahim,wakati alipofika Kizimkazi Dimbani kuangalia hatua za kukamilika kwa mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji safi na Salama katika kijiji hichom jana.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa Kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua za majaribio ya Tangi la maji safi na salama katika kijiji hicho jana.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.