Habari za Punde

MAALIM SEIF ZIARANI BANGALORE - INDIA

Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharrif Hamad akiwekewa kitojo kinachoashiria utamaduni wa kihindi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Bangalore, India kuendelea na ziara yake katika jimbo hilo.


Maalim Seif akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Waziri Kiongozi wa Bangalore D.V Sadananda Gowda, katika ofisi yake nchini India.


Maalim Seif na Ujumbe wake akiagana na watendaji wa serikali ya Kanarnataka mjini Bangalore, India nje ya ofisi ya makao makuu ya Serikali ya jimbo hilo baada ya kumaliza mazungumzo na watendaji hao.

Picha na Salmin Said, OMKR)

4 comments:

  1. Salaam bwana Mapara hope u r doing well nimejaribu kufungua picha hizi kadri ya uwezo wangu unfortunately hazijafunguka ss sijui tatizo ni kwako maana nimejaribu kwa PC mbili tofauti. Kazi njema

    ReplyDelete
  2. Tulijaribu kubadilisha utaratibu wa kupandisha nadhani ndipo lilipo tatizo. Tuturidisha utaratibu wa zamani

    ReplyDelete
  3. Tayari tumerekebisha, Mdau tujuulishe kama zinaonekana vizuri.

    Shukran

    ReplyDelete
  4. Kaka ahsante.mambo mazuri sasa!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.