Wadau wa Oostende watowa salamu za rambi rambi kwa majirani zetu kenya kwa kifo cha Profesa Wangari Maathai ambae alitunukiwa tuzo ya amani ya nobel - Nobel Prize
Hatutozisahau harakati zake za ukombozi za haki za binaadamu hususan kwa wanawake, vile vile mwanamazingira mahiri na mwanasiasa shupavu.
Mola amemuita nae ameitika
Ameen
No comments:
Post a Comment