Habari za Punde

ZOEZI LA MAJARIBIO YA SENSA YAENDELEA

Mdadisi wa Sensa ya Majaribio ya watu na Makazi 2011 Bw. Alawi Ally akiendelea na zoezi la kukusanya takwimu za sensa hiyo eneo la Chukwani Zanzbar.
Mdadisi wa Sensa ya Majaribio ya Watu na Makazi 2011 kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzbar Bi.Mwanahawa Yahaya (kulia) akiendelea na zoezi la kuuliza maswali na kujaza fomu za dodoso refu katika eneo la Regeza Mwendo, Chukwani leo mjini Zanzbar
Wadadisi wa Sensa ya Majaribio ya watu na Makazi ya mwaka 2011 wakiendelea na zoezi la kupita nyumba nyumba hadi nyumba wakiongozwa na mjumbe/sheha wa Shehia ya Regeza Mwendo Bw.Ally Nassoro (katikati) leo mjini Zanzibar.

Picha na Aron Msigwa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.