Habari za Punde

DK SHEIN AZUNGUMZA NA WATAALAMU WA SEKTA YA MAJI UAE


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wataalam wanaohusiana na sekta ya maji walipofika katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya wafanya biashara,(kulia) ni Mel Stewart OBE, na Peter Jackson. Mazungumzo hayo yalifuatia baada ya makubaliano yaliyofanyika kati ya Rais wa Zanzibar na Kiongozi wa Sharjah Sheikh Sultan Mohammed Al Qasimi,juu ya mashirikiano katika vianzio vya maji safi na salama Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman,Sharjah

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.