MKURUGENZI wa taasisi ya ‘Busara Promotions’ Yussuf Mahmoud, akimzawadia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, mfuko wenye bidhaa za sanaa zikiwemo CD za muziki, wakati wa mkutano uliofanyika jana na kuwakutanisha viongozi wa taasisi mbalimbali za kitalii na utamaduni pamoja na kampuni za biashara, kwenye hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Picha na Haroub Hussein.
No comments:
Post a Comment