Habari za Punde

MAFUNZO YA UTAYARISHAJI WA BAJETI KWA WAKURUGENZI WA MIPANGO SERA NA UTAFITI ZANZIBAR.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Fedha Uchumi ,Mipango na Maendeleo, Khamisi Mussa, akifungu Mafunzo ya siku Tano kwa Wakurugenzi Mipando, Sera na Utafiti Zanzibar, ya kutayarisha Bajeti za Wizara zao iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.  
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Utayarishaji wa Bajeti,wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akifunga mafgunzo hayo yaliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.