Waumini wa Dini ya Kislamu wakiusalia Mwili wa Marehemu Mwinyimvua Ahmed Ali, ukisaliwa katika msikiti wa Fuoni Unguja.
Waumini wa dini ya Kiislam wakiuomba duwa baada ya kusalia maiti ya mwili wa marehemu Mwinyimvua Ahmed Ali.
Wananchi wakiusindikiza mwili wa Marehemu Mwinyimvua, baada ya kusaliwa na kuomba duwa.
No comments:
Post a Comment