Habari za Punde

Video - National Graphic - The Island of Zanzibar

1 comment:

  1. Hi video si nzuri wa utamaduni wetu na pia haioneshi hali halisi ya visiwa vyetu. Wazungu kila wakati wanapenda kuona habari ambazo sio za kuvutia kuhusu sisi. Bi Kidude na vijana wake wa "nyago" wametuchafulia jina letu kwahiyo mtu akiona hii video ataona kuwa wanawake wa zanzibar hujifungia ndanni na kunywa bombe. Jee mkuu hili ndilo ulilolitaka tuliangalie? Kwa kweli inasikitisha sana kutumia blog yako kwa kuwasaidia watu wanaotaka kutuchafulia jina la nchi yetu, utamaduni wake na watu wake.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.