Jengo la Klabu ya Wainua Vitu Vizito lilioko Mnazi Mmoja Zanzibar lafanyiwa ukarabati mkubwa na kuwa katika hali ya kuonesha hili ndilo jengo la mchezo huo ambalo hapo mwanzo lilikuwa na hadhi ya chini na kuwakatisha taamaa wachezaji wa mchezo huo hapa Zanzibar.Taasisi husika ilofanya Ukarabari huo inabidi kuchukuwa hatua za makusudi kuweka vifaa vya mazoezi vyenye kiwango cha kimataifa, viendane na hadhi ya jengo hilo lilivyo hivi sasa.
Magazeti : Pitia Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo; 16:09:2025
-
Magazeti ya Leo
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisements.
3 hours ago
No comments:
Post a Comment