Mjengo wa kuuzia fenicha mbalimbali za ofisini na majumbani ukiwa katika hali ya kuvutia wateja
wanaopita katika eneo hilo la Kibweni Mselishelini, likiwa na vifaa mbalimbali vya mapambo ya nyumbani.
Ukiingia katika mjengo huu utataka usitoke ili kujichagulia.
No comments:
Post a Comment