Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar wakifuatilia Dondoo za Magazeti.

Wananchi wa mji wa Zanzibar wakubwa kwa wadogo wakiwa katika majunzo ya kuombeleza kifo cha msanii maaruf ndani ya Bongo Steven Kanumba, wakipitia habari hiyo kwa kuangalia dondoo za magazeti mbalimbali katika moja ya kituo cha kuuzia magazeti Darajani, wakiwa na hudhuni ya kupoteza nyota wa michezo ya bongo.
Mwanadada huyu akipitia kwa undani mioja ya gazeti la Sani kujionea habari za msanii huyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.