Mwakilishi wa Mkuwajuni Mbarouk Wadi Mussa, akizungumza na Wanachama wa (JUWAZA) Jumuiya ya Wastaafu Wazee Zanzibar alipotembelea banda hilo wakati wa maonesho hayo na kupata changamoto ya jumuiya hiyo.
Mwanajumuiya ya Wafugaji Nyuki Zanzibar Hassan Haji akitowa maelezo ya jumuitya hiyo inayojihusisha na Ufungaji wa Nyuki na jinsi ya kujiunga ukiwa mfugaji wa nyuki.
Wananchi wakiangali Kitabu cha Historia ya Profesa Haroub Othman, ksatika banda la Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar , wakati wa maonesho hayo.
Mjumbe wa Jumiya ya ZAMEA Zanzibar Monitaring and Evalution Association Halfan Salim, akitowa maelezo ya jumuiya yao kwa Mwakilishi aliyefika katika banda ghilo katika maonesho hayo katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
No comments:
Post a Comment