Wafanyakazi wa Michirizi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiweka mabomba ya maji machafu katika barabara ya Michezani eneo la kiswandui, ili kuimarisha miundombinu ya mitaro katika maeneo ya mjini kuna sehemu hujaa maji wakati wa mvua, eneo hili ambalo huwa linajaa maji ya wakati wa kunyesha mvua na kuwa usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya s...
4 hours ago
0 Comments