6/recent/ticker-posts

Mkurugenzi Msaidizi wa Fresh Enterprise Azungumza na Waandishi

 
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya Fresh Enterprise Catherine Peter Nao, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hasara iliopata kampuni yake kwa kuvunjwa kwa jengo lao la  bar ilioko Amani kutokana na vurugu zilizotokea wiki iliopita na kufanyika uharibifu huo, kwa jengo hilo kwa kuvunjwa na kuchukuliwa kila kitu kiliokuwa humo milango na madirisha na kuezuliwa sehemu ya paa la jengo hilo.  

Post a Comment

2 Comments

  1. Duu..yaani kama serikali haipo!
    Hata huko Somalia sio kama hivyo!

    ReplyDelete
  2. ULEVI HAPA Zanzibar sio utamaduni wetu,wallah anaewapendelea hao na kumkasirisha mola alietuumba basi ajue, hiyo furaha yake ni hapa duniani tu ,akifumba jicho adhabu yake ataipata.Leo hii kila upitapo Zanzibar jamaa wanafungua mabaa na uzizi, jamani hizi sio desturi zetu.

    ReplyDelete