6/recent/ticker-posts

Wananchi wa Micheweni Wakipanda Miti.

Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakiitikia Wito wa Serekali kutunza  Mazingira ya Maeneo yao wakipanda miti ya aina ya mikoko ili kutunza mazingira ya eneo hilo ili kurusuru ardi hiyo kukumbwa na mmomonyoko wa ardhi katika eneo hilo.

Post a Comment

0 Comments