Habari za Punde

India Yaadhimisha miaka 66 ya Uhuru Ubalozi Mdogo wa India Zanzibar

Balozi Mdogo wa India aliyeko Zanzibar Pawar Ku mar, akipandisha Bendera ya India  kusherehekea miaka 66 ya Uhuru wa India , sherehe hizo zimefanyika katika Ofisi ya Ubalozi wa India Migombani Mjini Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wenye asili ya India wakiwa katika Viwanja vya Ubalozo Mdogo wa India Migombani wakishuhudia upandishaji wa Bendera  
 Balozi Mdogo wa India aliyeko Zanzibar Pawar Kumar, akisoma hutuba ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India ilioadhimishw katika viwanja vya Ofisi ya Ubalozi mdogo Migombani Mjini Zanzibar.katika sherehe hiyo ilighudhuriwa na Wananchi wnaoishi Zanzibar wenye asili ya India




 Balozi Mdogo wa India aliyeko Zanzibar Pawar Kumar, akisalimiana na Wananchi waliofika katika sherehe hiyo, baada ya kiupandisha bendera.  
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Pawar Kumar akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wa India Zanzibar, wakati wa sherehe za kupandisha bendera kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.