Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sazi Salula (kulia) akifungua rasmi semina ya watumishi wa Ofisi yake kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Eng. Ngosi Mwihava
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Katibu Mkuu Bw. Sazi Salula (hayupo pichani) katika semina ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo juu ya matumizi salama ya Bioteknojia ya kisasa. Semina hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijiini Dar es Salaam na kuwashirikisha wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kutoka Dar es Salaam, Zanzibar na Dodoma.
Mmoja wa wawezeshaji katika semina hiyo Bw. Thomas Bwana - Afisa Kilimo Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akiwasilisha mada juu ya Bioteknolojia ya kisasa.
Muwezeshaji katika semina hiyo Bw. Onesphory Kamukuru - Mhandisi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akiwasilisha mada juu ya usimamizi wa matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa
No comments:
Post a Comment