Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif azungumza na Wanamichezo Kiembesamaki.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanasoka wa Jimbo la Kiembesamaki  alipokuna nao katika viwanja vya Mbweni Stars, Mbweni Zanzibar.
Wanasoka wa Jimbo la Kiembesamaki wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipokuna nao katika viwanja vya Mbweni Stars, Mbweni Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.