Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Chukwani.

 Wazirin wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud, akitaka ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt. Omar Dadi Shajak, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wakati wa kuchangia michango ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais leo asubuhi. 
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoka nje ya Ukumbi wa Baraza baada ya kumaliza michango ya kuchangia Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. kwa ajili ya mapumziko kwa majumuisho ya Ofisi hiyo na kupitisha jioni leo.
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Ferej na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud, wakitoka nje ya ukumbi wa Mkutano kwa mapumziko ya asubuhi, kujiandaa kwa kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.