Habari za Punde

Darasa la Nne la Vijana Wajasiriamali Jimbo la Kikwajuni.


Wanafunzi wa Darasa la Mafunzo ya Wajasiriamali katika Jimbo la Kikwajuni wakiwa na Mwalimu wao baada ya kumaliza mafunzo ya kuwawezesha kujiajiri na kukabidhiwa Vyeti vyao vya kihitimu mafunzo hayo ya awamu wa nne kwa Vijana wa Jimbo hilo, Vyeti hivyo wamekabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni,Mafunzo hayo hutolewa na Taasisi ya (TAYI) yakifandhiliwa na mbunge huyo ili kuwawezesha Vijana wa Jimbo lake kujikomboa na kujiajiri katika sekta ya Ujasiriamali.

1 comment:

  1. Duuu...wakhti na pita wallah! huyu mwalimu ni pacha wangu wa longi..pale VIKO' SCHOOL 1990's.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.