Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya Kikwajuni kikijiandaa kurudi Ligi Kuu ya Zanzibar.

 Tutarudi na kurudisha hadhi yetu ya miaka ya 1970, ndivyo inavyoonekana vijana hawa wakisema wakati wa mazoezi yao.
Kikosi cha timu ya Kikwajuni kikiwa chini ya Jopo la Makocha wake Burhani Msoma, Masoud Lee, Suleiman Jabir na Mzee Ndevu akiwa uwanja akitowa mafunzohayo kwa Wachezaji wake katika uwanja wao wa Mnazo mmoja wakifanya mazoezi hayo kwa nguvu. 
Kikosi cha timu ya Kikwajuni kikiwa katika mazoezi ya kujitayarisha kurudi ligi daraja la kwanza Taifa, kikiwa chini ya Kamati ya Muda ya Kampeni hiyo Ikiwa chini ya Mwenyekiti wake Mzee Hassan,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.