Askari wa Baraza la Wawakilishi akitembea kwa ukakamavu akiongozwa bwaride la Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa kwa kikao cha asubihi kwa ajili ya mapumziko
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Haji Omar Kheri, akisisitija jomba wakati akizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmini Awadh Salmini, nje ya ukumbi wa mkutano.
Maofia wa Idara ya Ofisi ya Kadhi wakifuatilia michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Baraza.
Maofisa wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia michango ya Wizara yao ilipokuwa ikichangia na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kupitishwa kwa bajeti yao.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa Kikao cha Baraza kuchangia Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria.
Mwanasheria Mkuu wa Sherekali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman, akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Mwakwajuni Mbarouk Wadi Mussa Mtando,(CCM) akisisitiza jambo baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa ajili ya mapumziko na kulia Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile Mohammed Haji Khalid (CUF).
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma, akizungumza na Wajumbe wa Baraza baada ya kuahirisho kikao hicho baada ya kuchangia Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, katikati Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano.
Kaka, picha nyingi na nzuri ila maelezo hamna.
ReplyDeleteBaadhi ya waliomo kwenye picha hatuwajui.
Kuna huyu mama anaeongozwa, anaonekana ni naibu spika ila mimi simjui, kuna huyu mh.aneongea na 'smart minister' sijui ni nani, Pia huju mzee mwenye kofia anyezungumza na mh.DPP.
haya mambo ya kurithishwa bado yapo , ndio nini kuwa na huu ujinga wa kuchukua rungu na kuwafanya baadhi ya binadamu wenzetu dhalili wakakamae na kutembea kama roboti , jee huu ndio usawa wa binadamu wengine wadhalilishwe na wangine kutukuzwa?
ReplyDeleteIle ni moja ya kazi ya uaskari lazima ukakamae vingine msubiri serekekili ya muamsho Cuf, ndio mpange yenu kama mtajiregeza viuno au, vipi?
ReplyDelete