Habari za Punde

Dk Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya   Mifugo na Uvuvi,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika
Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.