Habari za Punde

Mandhari ya Mji wa Zanzibar


Mandhari ya Mji wa Zanzibar pichani ukionekana kwa umbali wa uju ikionesha mabadiliko ya majengo yake  ya kileo baada ya mabadiliko ya miundombinu ya Ujenzi wa kileo kwa kutumia mabati katika uekezaji wake  kuondokana na matumizi ya makuti hapo nyuma miaka ya sitni iliopita 

1 comment:

 1. Ahsante kaka yetu Othman kwakutuletea habari na pic ha za Nyumbani.. Picha nzuri, lakini kasoro yake nikuona kwamba Majengo ya nyumba nyingi ( hata kama yako katika viwanja vya Plan).. Lakini nyumba hizi hazikujengwa ki plan ...

  Nyumba nyingi ni Nzuri lakini ikiwa nyumba zitakosa mpangilio wa plan ( yaaani kufuata line moja na kuelekeana... Basi hata nyumba hizo ziwe nzurri vipi, zikichukuliwa picha juu ya anga huonekana kama Vituturi au kwa lugha za wenzetu zinaitwa "Ghetto".

  Na hizi nyumba za Unguja na Permba zote zinaonekana kuwa na mandhari za kighetto...

  Nakumbuka kabla ya mapinduzi mtu akitaka kujenga ni lazima afuate mapimo ya ardhi na upimaji.. Na hata kama kiwanja ni chake chote basi ni lazima nyumba hizo ziwe na nafasi kubwa yakupita gari za TAX au Ambulance... Na ndivo ilivokua katika mitaa yetu ya Muembe Shauri, Miembeni .. Lakini baada ya Mapinduzi mwenye kupindua na mwenye Nguvu au mkubwa katika ngazi za serikali ndie anaekiuka sheria..

  leo hii ukipita mtaa wa muembe rikunda zile sehemu zakupita gari zote zimeibiwa ibiwa na watu wenye majengo yao.

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.