Habari za Punde

Waa Skuli ya Fidel Castro Pemba ikiwa katika Mandhari ya Kupendeza.

Jengo la Skuli ya Sekondari Feidel Castro likiwa katika hali ya kupendeza baada ya ukarabati wake Mkubwa uliofanywa na Wizara ya Elimu kurudisha hadhi yake, kwa kutoa Wanafunzi Wengi na Wengi wao ni Viongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  na bado iko katika hali ya kupasisha wanafunzi wengi   


Mambo ya Mtandao huyo kupata mawasiliano na kujisomea kupitia katika mitandao kwa wanafunzi wa skuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.