Habari za Punde

Wiki ya Maji Duniani

Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ( ZAWA ) wakitengeneza moja ya bomba la kupitishia maji kwa Wakaazi wa Mji Mkongwe wakilifanyia matengenezo baada ya kupasuka na kumwaga maji barabarani ,
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA Ndg. Mustafa Ali Garu,wa kwanza kulia mweye kofia akijumuika na Mafunzi wa ZAWA katika zoezi hilo la kutengeneza miundombinu ya maji kwa wananchi wa mji mkongwe. 

1 comment:

  1. Hongereni wana Mamlaka ya Maji, endeleeni kuchapa kazi nasi tunathamini juhudi zenu. Iko siku Zanzibar itaondokana kabisa na matatizo ya maji. Tunathamini sana juhudi, ari na utendaji wenu, tuko pamoja.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.