Habari za Punde

Michezo wa Basket Ball kuibua Vipaji Zenj Chini ya Udhamini wa Zanzibar Ocean View Hotel.

 
 
Kikosi cha timu ya Good Morning cha U18, kinachoshiriki michuano hiyo ya kuinua Vipaji kwa viaja katika mchezo wa Basket Ball, zinazofanyika katika viwanja vya maisara Zenj, kilitoka na ushindi wa Vikapu 49--30dhidi ya timu ya Africa Magic.
Kikosi cha timu ya Africa Magic,cha U18, kinachoshiriki michuano hiyo ya kuinua Vipaji kwa vijana  katika mchezo wa Basket Ball Zanzibar,zinazofanyika katika viwanja vya maisara Zenj, kilichokubali kufungwa na Good Morning kwa Vikapu 49 --30.

Mchezaji wa timu yac Africa Magic Mohammed Rajab akiwapita wachezaji wa Good Morning katika mchezo wa ligi ya Vijana walioko chini umri wa miaka U-14 na U-17. zinazofanyika katika uwanja wa maisara Zenj. Timu ya Good Morning imeshinda kwa vikapu 49-30.
Mchezaji wa timu ya Good Morning Yasir Abdi akimpita mchezaji wa Africa Magic Daniel Paul, wakati wa mchezo huo.







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.