Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Rafii Haji Makame akiwasilisha mapitio ya sheria za vyombo vya Habari Zanzibar katika mkutano wa Kamati ya Mifugo, Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi uliofanyika Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Kikwajuni Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia uwasilishwaji wa mapitio ya sheria hiyo.Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Mifugo, Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi kwenye mkutano huo.
Meneja wa Baraza la Habari Zanzibar (MCT) Suleiman Seif Omar akisisitiza kufanyiwa kazi mapendekezo yaliyotolewa na wadau wa Habari wa Zanzibar kuhusu sheria hiyo . Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment