Habari za Punde

Ligi daraja la pili Taifa, Umeme yailaza Super Falcon 1-0

MSHAMBULIAJI wa timu ya Umeme ya Kiuyu Hamad Muhidini akiwatoka walinzi wa timu ya Super Falcon, katika mchezo wa ligi daraja la pili taifa Pemba mchezo uliopigwa katika uwanja wa Ngerengere Umeme ilishinda 1-0,(Picha na Ameir Khalid, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.