Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wananchi waliohudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, iliofanyika katika viwanja vya Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri yac Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania. Devis Mwamunyange, alipowasili katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti baada ya kuwasili katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteuli wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akienda kukagua Bwaride lake la mwisho la kukabidhi madaraka kwa Rais Mteuli Dk John Pombe Magufuli. katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwaride lake la mwisho kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteuli Dk John Pombe Magufuli, iliofanyika katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwaride lake la mwisho kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteuli Dk John Pombe Magufuli, iliofanyika katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwaride lake la mwisho kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteuli Dk John Pombe Magufuli, iliofanyika katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Viongozi wa Jukwaa Kuu wakisimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa wakati ikishushwa bendera baada ya kumaliza muda wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete.wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule Dk John Pombe Magufuli.
Wageni waalikwa wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Awami ya Tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli
Bendera ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ikishushwa baada ya kumaliza muda wake wa Kipindi cha miaka Kumi ya Uongozi wake na kupisha Uongozi wa Rais wa Awamu ya Tano Dk John Pombe Magufuli.
Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Dk Mohammed Gharib Bilal baada ya kukagua bwaride maalum la kumaliza muda wake wa Uongozi.
Rais Msataaf wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mteule wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akisubiri kuapishwa Raismin kushika Uongozi wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla ya kuapishwa iliofanyika leo katika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akasubiri kuapishwa akiwa Jukwaa Kuu la kuapishiwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, anayefuata Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Awamu ya Nne na Makamu wa Rais Mstaaf Dk Mohammed Gharib Bilal.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge Mhe Anna Makinda na Viongozi wa Serikali wakiwa katika Jukwaa Kuu.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Chande Othman na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sifuwe wakiwa jukwaa kuu wakisubiri hafla ya kuapishwa Rais Mteule wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli.
Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk JohUrais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla hiyo ya kumuapisha kuchukua Madaraka ya Urais wa Tanzania wa Awamu ya Tano baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwishoni mwa wiki hii.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akila kiapo cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Chande Othman.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akila kiapo cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Chande Othman.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akisaini baada ya kula kiapo

No comments:
Post a Comment