Afisa Mdhamini Wizara
ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Pemba,Bi. Mauwa Makame
Rajab, akitoa maelezo ya Wizara yake katika siku ya Maadhimisho ya wanawake
Duniani, yaliyofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya
Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Masoud akizungumza na wananchi wa wilaya ya
Chake Chake katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambapo kisiwani
Pemba yamefanyika katika Uwanja wa MIchezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na wananchi wa mikoa miwili ya
Pemba, katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika huko katika
uwanja wa michezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na wananchi wa mikoa miwili ya
Pemba, katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika huko katika
uwanja wa michezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla
akikabidhi cheki ya shilingi Milioni 1,500,000/= kwa kiongozi wa kikundi cha
Duka Asha Mwalimu Haji, maara baada ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.
Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kisiwani Pemba, wakimsikiliza hutuba ya maadhimisho ya siku ya wanawake
Duniani, iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment