Habari za Punde

Tangazo kwa Mafunzo Maalum ya Ukusanyaji Takwimu Rasmi

Eastern Africa Statistical Training Centre
Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika
Tel: General +255 22 2925000     Fax: +255 732 991395
Rector’s  Direct Line: +255 22 2925001; +255 784 784106
E-Mail; info@eastc.ac.tz  Website: http://www.eastc.ac.tz
P. O. Box 35103
Dar es Salaam
Tanzania

                  TANGAZO
MAFUNZO MAALUMU YA UKUSANYAJI TAKWIMU RASMI
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika “Eastern Africa Statistical Training Centre” (EASTC) anatangaza mafunzo maalumu ya Ukusanyaji Takwimu Rasmi kwa ngazi ya cheti.
Sifa za muombaji:
-      Awe amemaliza kidato cha nne; au
-      Awe alishawahi kufanya angalau tafiti moja inayosimamiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu.

Muda wa Mafunzo:
-      Mafunzo haya ni ya muda wa miezi miwili tu,
-      Mafunzo haya yataanza rasmi tarehe 17 Oktoba, 2016, Chuoni EASTC.

Mwisho wa Maombi:
-      Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 Oktoba, 2016
-      Maombi yatumwe kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya chuo ambayo ni: www.eastc.ac.tz/cut

Kwa Mawasiliano zaidi na Kujisajili Wasiliana na:

-      Ofisi ya Msajili wa Chuo,
         Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika   
         (EASTC),
         S.L.P 35103,
         DAR ES SALAAM.
         Barua pepe: info@eastc.ac.tz  
         Tovuti: www.eastc.ac.tz
         Simu nambari: 022-2925000 au 0784784106.Tangazo hili limetolewa na: 
Mkuu wa Chuo,
Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika,
DAR ES SALAAM. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.