Habari za Punde

Usafi Eneo la Kijangwani

Wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakifanya usafi katika eneo la kijangwani baada ya kuhama wafanyabiashara za mbao katika eneo hilo ili kupita ujenzi wa kituo cha kisasa cha daladala katika eneo hilo zamani kulikuwa na kituo cha mabasi.   


1 comment:

  1. Tunaishukuru serikali, najua piapatajengwa na maduka, isije kuwekwa office za kisiasa tu,serikali itakuwa haitutendei haki,jengine kabla ya ujenzi tupate hio planning ya kituo tutoe maoni yetu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.