Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma
kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Wananchi wanaohitaji kufunga ndoa kuanzia mwezi
Mei mwaka huu kuwa na vyeti vya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt.
Magufuli ameagiza utaratibu wa awali uendelee kutumika kwa sababu wananchi wengi wa
Tanzania hawana vyeti, hivyo wangekosa haki hiyo ya kufunga ndoa.
Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. Picha na Ikulu.
MTATURU ACHUKUA FOMU JIMBO LA IKUNGI MASHARIKI.
-
*Mbunge wa Singida Mashariki,Miraji Mtaturu amechukua fomu ya kuomba ridhaa
ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia jimbo...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment