Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi RC Ayoub Mahmoud akibeba kipolo cha mchele yeye mwenyewe wakati akiendea kuvikabidhi kwa familia zililoathirika na maafa ya mvua
Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi RC Ayoub Mahmoud akiwa pamoja na mafundi kukarabati paa la moja ya nyumba iliyoathirika na maafa ya mvua na upepo mkali hivi karibuni





1 Comments
Hongera Mh Ayoub, hongera saana, si haba.
ReplyDelete