Habari za Punde

Wakuu wa Mikoa Pemba Watembea Tanga Katika Ziara ya Ushirikiano.

VIONGOZI wa Mikoa Miwili Ya Pemba wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja wa Viongozi wa Bandari ya Tanga, katika ziara ya siku moja kwa wakuu hao wa Mikoa ya Pemba, ikiwa na lengo la Kujenga Mashirikiano katika udhibiti wa magendo ya Karafuu baina ya Pemba na Tanga

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya viongozi wa Mikoa Miwili ya Pemba na Viongozi wa Mkoa wa Tanga, katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martn

Shigara na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe:Martin Shigera akizungumza na Viongozi wa Mikoa Miwili ya Pemba,wakati wa ziara yao ya mashirikiano Mkoani Tanga kutoka kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman na Kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla,wakiwa katika kikao cha pamoja baada ya kutembelea bandari ya tanga Kujenga mashirikiano baina ya mikoa hiyo katika kudhibiti biashara ya Magendo ya Karafuu.(Picha na Ahmed Kkhalid Tanga.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.