Habari za Punde

ZECO Warudisha Huduma ya Umeme

KRINI ya shirika la Bandari ikiweka Transfoma ya 2.5MVA kwa ajili ya kurudisha huduma ya umeme kwa wananchi wanaotumia laini ya 11KV, baada ya kuikosa kwa siku mbili kufuatia kuungua kwa Transfoma kubwa ya 5MVA
katika kituo cha Umeme Wesha Mijini Chake Chake.

Krini ya Shirika la Bandari Pemba likiwa katika zoezi la uwekaji wa Transfoma mpya ya 2.5 MVA baadaya ile ya zamani kupata hitilafu za kiufundi na kuungua na kutopatikana kwa umeme kwa baadhi ya maeneo ya kisiwa cha Pemba, Mafundi wa Shirika la Umeme ZECO wakiwa katika zoezi hilo la kurudisha huduma hiyo kwa Wananchi kisiwani huno. kwa ajili ya kurudisha huduma ya umeme kwa wananchi wanaotumia laini ya 11KV, baada

ya kuikosa kwa siku mbili kufuatia kuungua kwa Transfoma kubwa ya 5MVA katika kituo cha Umeme Wesha Mijini Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

MFUNDI wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Tawi la Pemba, wakiipokea Transfoma nyengine ya 2.5MVA ili kurudisha huduma ya umeme kwa wananchi iliyokosekana kwa muda wa sikumbili kwa laini Kongwe ya

11KV.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.