Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Kizimbani na Jangombe Boys Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Kizimbani akimpita beki wa Timu ya Jangombe Boys wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar na kutoka sare ya bila ya kufungana. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.