Habari za Punde

Masheha wateule wafundwa katika semina baada ya kuapishwa

 Baadhi ya waheshimiwa masheha waliohudhuria katika semina ya mafunzo baada ya kuapishwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja 

 Sheha wa Shehia ya Mnazi mmoja Mohd Juma Mugheri akiuliz maswali katika semina ya mafunzo kwa masheha baada ya kuapishwa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja 
 Baadhi ya waheshimiwa masheha waliohudhuria katika semina ya mafunzo kwa masheha baada ya kuapishwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja 
Mkufunzi kutoka Chuo cha Diplomasia Dare es Salaam Salim Othman Hamad akitoa mafunzo katika Semina ya masheha katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja 

PICHA NA YUSSUF SIAMI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.