Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Ahutubia Wananchi wa Morogoro Akiwa Njiani Kuelekea Jijini Dar es Salaam Akitokea Mkoani Dodoma.Morogoro.

 
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akihutubia  Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro waliokuwa wamejitokeza kumsalimia  akitokea Mkoani Dodoma Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro akitokea Mkoani Dodoma
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.