Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya Serikali leo mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum  na kupokelewa na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ailipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudhi wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali  mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum

​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein waki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yao leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
[Picha na Ikulu.] 25/07/2017

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.