Kaimu Naibu Mkurugenzi wa maendeleo ya ‘TEHAMA’ kutoka Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania ‘TCRA’ Mhandishi Nehemia Mwenisongole akielezea namna ambavyo, mteja
wa kampuni moja ya simu anavyoweza kuhama kutoka kampuni hiyo na kuhamia
nyengine kwa namba yake ile ile ya simu, wakati akizungumza na waandishi wa
habari kisiwani Pemba
NAIBU
Mkurugenzi kuhusu masuala ya huduma na bidhaa za mawasiliano, kutoka Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Thadayo Ringo, akielezea hatua za kufanya kabla ya
mteja kuhama mtandao mmoja kwenda mwengine, akitumia namba yake ile ile ya
mtandao anaohama, mkutano huo ulifanyika kisiwani Pemba, hivi karibuni
MWANDISHI wa
sauti ya Istiqama Salum Ali Msellem, akiwaongoza waandishi wa habari wenzake
kuomba dua maalum kwa Muumba, ili wazo lao la kuanzisha mfuko wa wanahabari wa
kujiendeleza kielimu lifanikiwe, kikao hicho kilifanyika PPC mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment